Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania Navigation
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Burudani
  • Mawasiliano
  • Matukio Katika Picha
  • Chuo Cha Maisha
  • Vitimbwi Ulimwenguni

Ridhiwani Kikwete Ajinadi Katika Kata ya Bwilingu

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kitongoji cha Mbala Kata ya Bwilingu wakati akiomba kura kwa wananchi hao, Uchaguzi wa Jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili mwaka huu.

2

Mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Ridhiwani Kikwete akifurahia wakati Meneja wa Kampeni hizo Mzee Kazidi alipokuwa akimtambulisha jukwaani.

3

Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Ridhiwani Kikwete katikati ni Meneja kampeni Mzee Kazidi wakimsikiliza Diwani wa Kata ya Bwilingu, Nasser Ahmed wakati wa mkutano huo.

4

Diwani wa Kata ya Bilingu, Nasser Ahmed akizungumza na wananchi katika kitongoji cha Mbala Kata ya Bwilingu.  

6

Msanii Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake katika mkutano huo.

7

Msanii Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake katika mkutano huo.

8

Mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi, CCM Ridhiwani Kikwete akifungua shina la wakereketwa la Magwila kata ya Bwilingu.

9Watoto wakipakiana kwenye baiskeli katika maeneo ya Chalinze mjini. 10

Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo 11

Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo wakimsikiliza mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze, Rhidhiwani Kikwete.

Picha na FullShangwe Blog

Ridhiwani Kikwete
  • Vitimbwi Ulimwenguni
  • TheHabari Team
  • Kuhusu TheHabari
  • Mawasiliano

POWERED BY THE X THEME

Toggle the Widgetbar