Ras Makunja na Ngoma Africa Band Wapagawisha Tena Ujerumani Kwenye Tamasha la Afrika!

Rungwe Jr. wa Thehabari akiwa amepozi na Ras Makunja wa The Ngoma Afrika (Katikati) kabla hawajaanza kutoka dozi. Kulia kwa Makunja, pia ni shabiki wa The Ngoma Afrika
Rungwe Jr. wa Thehabari akiwa amepozi na Ras Makunja wa The Ngoma Afrika (Katikati) kabla hawajaanza kutoa dozi. Kulia kwa Makunja, pia ni shabiki wa The Ngoma Afrika
mhhh....
mhhh….
si mchezooo...
si mchezooo…

DSC_0193 DSC_0199

si mchezooo...
si mchezooo…

DSC_0202 DSC_0203 DSC_0204 DSC_0205

palikuwa hapatoshi....
palikuwa hapatoshi….
nyomi!
nyomi!
Nyomi ilikuwa si ya mchezo!
Nyomi ilikuwa si ya mchezo!
doziii...
doziii…
kwaya....
kwaya….
Band maalum ya kwaya yenye makazi yake Holland nayo ilkuwepo kutumbuiza
Band maalum ya kwaya yenye makazi yake Holland nayo ilkuwepo kutumbuiza
si mchezo....
si mchezo….
Vijana wa Makunja
Vijana wa Makunja
Makunja akitoa dozi
Makunja akitoa dozi
Makunja na kikosi chake
Makunja na kikosi chake
MC akianza kutangaza Band zitakazotumbuiza
MC akianza kutangaza Band zitakazotumbuiza

Tamasha hili linafikia tamati leo tarehe 20/7/2014, baada ya kuanza tarehe 17/7/2014. Tamasha hili hufanyika kila mwaka hapa jijini Tuebingen, Ujerumani, ambapo waafrika hutumia fursa hii kuonyesha utamaduni wao kupitia bidhaa mbalimbali, ikiwemo miziki.

 

 

 

Picha zote na dev.kisakuzi.com, Tuebingen, Ujerumani

 

 

 

 

Related Post