Rais Jakaya Kikwete akihutubia wananchi katika tamasha la matumaini Dar.Rais Kikwete akikaribishwa na mwandaaji wa Tamasha la Matumaini, Eric Shigongo. Kati ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella MukangaraRais Kikwete akiwa katika meza kuu ya Tamasha la MatumainiWaziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara akizungumza na wananchi katika tamasha la matumaini Dar kabla ya kumkaribisha JK.Rais Kikwete akiingia uwanja wa Taifa akiongozana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Eric Shigongo
Wacheji wa Yanga wakipiga jaramba kabla ya mchezo
Wabunge washabiki wa Simba wakipiga jaramba kabla ya mchezo wao katika Tamasha la Matumaini.
Rais Kikwete akiwakagua Wabunge washabiki wa Simba kabla ya kuanza kwa mpambano katika Tamasha la Matumaini
Rais Kikwete akiwakagua Wabunge washabiki wa Yanga kabla ya kuanza kwa mpambano katika Tamasha la MatumainiWabunge washabiki wa Yanga kabla ya kuanza kwa mpambano katika Tamasha la MatumainiRais Kikwete akiwahesabu timu za wabunge washabiki wa Yanga na Simba kabla ya kuanzisha mpambano huo katika Tamasha la MatumainiJK akiweka saini katika mpira utaochezewa kabla ya mpambanoRais Kikwete akijiandaa kupuliza firimbi kuashiria kuanza kwa mpambano wa wabunge washabiki wa Yanga na Simba katika Tamasha la Matumaini
Waandishi wa habari kazini katika Tamasha la Matumaini Uwanja wa TaifaJK akisalimiana na Katibu Mkuu wa FAT mstaafu Mwina KadugudaJK akipeana mikono na kipa wa zamani Yanga na Taifa Stars Peter Manyika ambaye sasa ni msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie
Mwandaaji wa Tamasha la Matumaini, Eric Shigongo akisema machacheRais Kikwete Katika Tamasha la Matumaini Uwanja wa TaifaRais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi uwanja wa Taifa walioshiriki Tamasha la Matumaini Dar. (Picha zote na Ikulu)