
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Oktoba 5, 2012. PICHA NA IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Ujumbe wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Oktoba 5, 2012. PICHA NA IKULU.