
Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo amekutana na CEO wa Bank ya Standard Chartered Tanzania Bibi Liz Lioyd ambaye alifika ofisini kwa waziri mkuu magogoni kwa mazungumzo ya kikazi (Picha na Chris Mfinanga)

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa anafurahia jambo na Sister Maria Iddah ambaye ni mwalimu wa ufundi parokia ya Hananasifu Kinondoni walikutana siku ya Jumapili baada ya misa Mama Pinda na Waziri Mkuu Mizengo Pinda ni wanajumuiya wa parokia hiyo ya Hananasifu (Picha na Chris Mfinanga)