

Moja ya mabango yanayoelezea historia ya Mji Mkongwe

Mtalii akipata maelezo ya Jumba la Mji Mkongwe kupitia kwa mmoja wa wafanyakazi mapokezi

Matangazo ya huduma za kitalii zinazopatikana ndani ya Mji Mkongwe

Jisomee mwenyewe historia ya Jumba hili, ambalo ni kivutio kikubwa cha utalii Zanzibar

Jumba la Mji Mkongwe kwa nje….

Ukongwe haufichiki kabisaaa……

Jumba la “Mji Mkongwe” linavyoonekana kwa nje
Picha zote na Mpiga Picha wetu, Zanzibar