Wizara Yatuma Rambirambi Kifo cha Mzee Francis Maige

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe leo ametuma ubani na salamu za rambirambi kwa familia ya msanii mkongwe katika fani ya uchoraji Mzee Francis Maige Kanyasu (86), kufuatia kifo cha msanii huyo kilichotokea jana tarehe 29 Mei, 2017 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Waziri Mwakyembe ametuma ubani na salamu hizo za rambirambi leo mchana kupitia …

Uzinduzi wa Utafiti wa Makampuni 100 Bora 2017

    Na Robert Okanda MAKAMPUNI ya kiwango cha kati yanatimiza jukumu muhimu katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. Kwa kutambua hilo, KPMG na Mwananchi Communications walianzisha utafiti wa makampuni 100 bora yafanyayo biashara ya kiwango cha kati. Banki M Tanzania ndiye mdhamini mkuu wa tuzo zitakazotolewa baada ya utafiti huo muhimu. Utafiti huo hubainisha mafanikio ya makampuni yafanyayo biashara ya …

Waandishi wa Habari za Kilimo Tanzania Wakutana Mwanza

   Katibu wa Chama hicho, Elias Msuya akizungumza katika kikao hicho. Kulia ni Mtunza Fedha wa chama hicho, Ellen Manyangu.  Wanachama wakiwa kwenye kikao hicho. Kikao kikiendelea.   Na Dotto Mwaibale, Mwanza   WAANDISHI wa Habari wanaounda Chama cha Waandishi wa Habari za Kilimo wamekutana Malaika Beach Resort jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ya chama hicho.   …

KIFAA CHA DIJITALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO TANZANIA…!

  Wakulima wadogo nchini Tanzania hivi karibuni wataweza kupata taarifa mbalimbali za kijiditali kuhusu masuala ya pembejeo, ukiwemo ushauri utakaosaidia kutatua matatizo yanayowakabili kama vile upatikanaji wa fedha, pembejeo na mafunzo.   Mradi huo umezinduliwa na taasisi tatu za Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA), Positive International Limited (PIL), na Grameen Foundation katika sherehe zilizohudhuriwa na maofisa wa …

RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI KUTOOGOPA KUSTAAFU

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Eric Shitindi akizungumza katika mkutano huo ambapo alisema ni vyema watumishi wakajianda mapema wakiwemo wa umma na sekta binafsi. Mkurugenzi wa mfuko wa GEPF Daudi Msangi alisema kuwa tayari kuna mikakati mbalimbali ambayo imeletwa kwenye mkutano huo na itaanza kufanyiwa kazi kwa malengo ya kuboresha maslai ya wanachama na nchi kwa ujumla. …

Hospitali ya Wilaya Mkuranga Yakabidhiwa Gari la Wagonjwa na Vifaa Tiba

  NAIBU waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla mapema jana Mei 28.2017 amekabidhi gari maalum la kubebea wagonjwa (Ambulance) na vifaa vya Hospitali ikiwmo vitanda na Magodoro katika Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoani Pwani. Dk. Kigwangalla ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tukio hilo, mbali na kukabidhi gari hilo la wagonjwa na …