Rais Kikwete, Dk. Bilal wamuaga Jenerali Mayunga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete na Makamu wake Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ulinzi, Hussein Mwinyi, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mawaziri wastaafu, Joseph Sinde Warioba na Salim Ahmed Sailm, wakiwa katika shughuli ya mazishi kuaga mwili wa marehemu Luteni Jenerali mstaafu, Silas Mayungi kwenye Viwanja vya Kambi ya Jeshi …
Rais Kikwete amuaga Rais wa Somalia
Rais wa Jamhuri ya Somalia, Mheshimiwa Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, ameondoka nchini leo, Jumatano, Agosti 10, 2011 mwishoni mwa ziara yake ya siku mbili ya kikazi katika Tanzania. Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kiongozi huyo wa Somalia ameagwa na mwenyeji wake, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na viongozi wengine wa …
Jukwaa la FFU lavamiwa na mashabiki!
FRANKFURT, UJERUMANI JUMAMOSI iliyopita mambo yalikuwa ni moto, ‘asiye na mwana abebe jiwe’, katika tamasha la Afro-karibik, Robstock park, Frankfurt, nchini Ujerumani. Pata shika la nguo kuchaika kati ya ffu wa ngoma africa band na washabiki sugu mjini Frankfurt, katika onesho ambalo washabiki walionesha ubabe dhidi ya walinzi na kulikwea jukwaa baada ya kudatishwa na mdundo wa Ngoma Africa band …
Wakazi Dar es Salaam waendelea kutaabika na mgogoro wa mafuta, daladala ‘zashindwa’ kufanya kazi
Na Joachim Mushi WAKAZI wa Dar es Salaam jana waliendelea kuumia na mgomo wa wafanyabiashara wa mafuta ya petrol na dizeli, wanaoendesha mgomo kwa siku saba sasa wakipinga agizo la Serikali la kuwataka kushusha bei nishati hiyo tofauti na walivyokuwa wakiuza awali. Jana hali ilikuwa ngumu zaidi kwa wasafiri, watoaji huduma za usafiri wa umma maarufu kama daladala na wamiliki …