Baadhi ya wakuu wa Idara na Taasisi ziliopo chi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia Hotuba ya Makadirio na Mapato ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2011-2012 Bungeni Aug.11,2011. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akijibu majibu ya masuali ya papo kwa papo Bungeni Aug,11,2011. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya jamhuri …
Azam FC yatoka suluu na SC Villa ya Uganda
Kampala, TIMU ya Azam FC imetoka sare na Timu ya Mpira wa Miguu ya SC Villa ya nchiniUganda. Katika mchezo huo uliochezwa jana mjini Kampala, Azam ilicheza mpira mzuri uliowavutia na kuwaacha na mshangao mkubwa Waganda. Azam FC katika mchezo huo imefanikiwa kutoka sare ya 0-0 na wenyeji SC Villa katika mchezo mkali wa kuvutia uliochezwa kwenye uwanja mkongwe wa …
Rais Kikwete ziarani Namibia
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete yuko mjini Windhoek, Namibia kwa ziara ya kikazi ya siku moja nchini humo. Rais Kikwete ameondoka nchini asubuhi ya Agosti 11, 2011, na atarejea baada ya ziara hiyo. Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yuko Namibia kuhudhuria mkutano wa wakuu wa vyama vya …
CHODAWU yavunja Kamati ya Utendaji ya Taifa
Na Anna Titus na Esther Muze, Maelezo-Dar es Salaam, BARAZA Kuu Maaluum la Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Mahoteli, Majumbani na kazi nyingine (CHODAWU) limevunja Kamati ya Utendaji ya Taifa iliyokuwepo na kutengua uteuzi wa aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu, Kiwanga Towegale. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa Idara ya Habari (MAELEZO) jana na kusainiwa na Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza …