Na Mwandishi Wetu, Njombe WAKULIMA wa nyanya katika Kijiji cha Mahongole kilichopo mkoa mpya wa Njombe wameahidiwa kujengewa soko na mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini (MUVI), ili kuwaondolea kero ya kusafiri umbali mrefu kutafuta masoko. Akizungumza kwa niaba ya Mratibu wa Mradi huo mkoani hapa, Ofisa Mradi, Christopher Mkondya, amesema soko hilo ambalo kwa kiasi kikubwa litagharamiwa na mradi huo …
Leseni ya Castory Mumbara yakwama TFF
Na Joachim Mushi TFF imeshindwa kumpa leseni Castory Mumbara ambaye ameombewa usajili katika timu ya Toto Africans kutokana na kutokuwa na Hati ya Uhamisho ya Kimataifa (ITC), ambayo inatakiwa kutolewa kupitia mfumo wa mtandao wa Transfer Matching System (TMS). Taarifa hiyo imetolewa leo Dar es Salaam na TFF, kupitia kwa Ofisa Habari wake, Boniface Wambura alipokuwa akizungumza na vyombo vya …
Yanga, Simba zabadili viwanja Ligi ya Vodacom
Na Mwandishi Wetu TIMU za Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam zimefanya mabadiliko ya viwanja zitakavyovitumia katika Ligi Kuu ya Vodacom baada ya Serikali kuufunga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambao ulikuwa utumiwe na timu hizo. Marekebisho hayo yametolewa leo na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es …
Breaking Newsss; CAG athibitisha Jairo hana atia, anarejea kazi
KATIBU Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo ametangaza muda huu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo aliyesimamishwa hivi karibuni hana kosa lolote dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake hivyo anarejea kazini mara moja. Taarifa ambazo dev.kisakuzi.com imezipata hii ni kwa mujibu wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali baada ya kupewa kazi ya kuchunguza tuhuma zake …
Dwight Howard Hits Tanzania…With $80K For Schools
This past week, Dwight Howard joined executives from his D12 Foundation on a trip to the United Republic of Tanzania where he visited the Kipok Secondary School in the Monduli region and the Lunguya Secondary School in Shinyanga. While there, Dwight donated more than $80K to their educational efforts.