Jando kwa Wamasai kuanza Oktoba

Na Janeth Mushi, Arusha WAKAZI wa Jamii ya wafugai wa Kimasai waishio Ukanda wa Afrika Mashariki, Oktoba 21 mwaka huu wanatarajia kuanza sherehe za kuwapeleka jando vijana wa kiume wa jamii hiyo sherehe zinazotarajwia kufanyika katika eneo la elerai katika Manispaa ya Arusha. Lawasare Langas ambaye ni kiongozi wa jadi na mila za Kimaasai anayewasilisha jamii ya Olosho, alisema juzi …

Mgawo wa umeme wakwamisha kesi ya Lema

Na Janeth Mushi, Arusha MGAWO wa umeme unaoyakabili maeneo anuai nchini, leo umeathiri kuanza usikilizwaji wa awali wa kesi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) ya kupinga matokeo ya ubunge, inayosikilizwa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, baada ya mawakili wa upande wa wadai kushindwa kuwasilisha muhtasari wa shauri hilo. Wapiga kura Musa Nkanga, Agness Mollel na Happy Kivuyo …

Hii nyumba ya Naomi Campbell Imetulia….

Incredible Glass-Domed Eco House Shaped Like the Eye of Horus In what’s perhaps one of the more unique celebrity green homes we’ve ever seen, Spanish architect Luis de Garrido has designed a 25-room, off-grid retreat for model Naomi Campbell.

Wagombea Chadema, CUF wamshambulia Dk Kafumu

Igunga WAGOMBEA ubunge katika Jimbo la Igunga, Leopold Mahona wa CUF na Mwalimu Joseph Kashindye wa Chadema, jana walimkaba koo mgombea wa CCM, Dk Dalaly Kafumu katika mdahalo uliofanyika jana mjini hapa kuwa amehusika na mikataba mibovu ya madini.Walitoa maneno hayo kwenye mdahalo wa uchaguzi mdogo wa Igunga na Tanzania tunayoitaka ambao uliwahusisha wagombea hao watatu uliofanyika katika ukumbi wa …

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN

Na Boniphace Makene Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal ametoa mhadhara kuhusu changamoto za kisayansi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Idara ya Sayansi za Kimataifa kwa kifupi ISP ya Chuo Kikuu cha Uppsala kilichopo Uswidi ambapo amefafanua kuwa, mchango wa wanasayansi kutoka katika chuo hiki una manufaa makubwa katika kukuza teknolojia katika …

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Watanzania waishio nchini Sweden, baada ya kumalizika kwa mkutano wakati alipokutana na wanachama wa Jumuiya ya watanzania hao ‘RIKS’ jana Septemba 25. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wenyeji wake baada ya kuwasili kwenye …