RC Arusha ataka waandishi wapewe ushirikiano

Na Mwandishi Wetu, Arusha MKUU wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo amewataka viongozi wa Serikali mkoani hapa ngazi zote, kutoa ushirikiano kwa vyombo vya habari. Mulongo alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya watendaji wa Serikali kutokutoa ushirikiano kwa waandishi wa habari pale wanapohitaji taarifa jamabo ambalo linasababisha wananchi kutokufahamu namna Serikali inavyotejekeza wajibu na mujukumu yake. Mkuu huyo aliyasema …

Rais Wade wa Senegal kugombea urais tena

MAHAKAMA Kuu ya Senegal imetupilia mbali kesi ya rufaa ya vyama vya upinzani na kuamua kuwa Rais Abdoulaye Wade anaweza kugombea tena kiti cha urais wa nchi hiyo kwa mara ya tatu. Upinzani umesema Katiba ya nchi hiyo imeweka kikomo cha mihula miwili, lakini mahakama hiyo imesema, Wade hafungwi na sheria hiyo kwa sababu, sheria hiyo ilipitishwa akiwa katika muhula …

Vodacom yakamilisha Awamu ya Pili Ujenzi wa S/Msingi Ruvu Darajani

*Yatoa pia madawati 100 KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imekabidhi vyumba vitatu vya madarasa pamoja na madawati 100 katika Shule ya Msingi Ruvu Darajani, Chalinze Mkoa wa Pwani ikiwa ni sehemu ya pili ya mradi wa kuiboresha shule hiyo unaofadhiliwa na Mfuko wa Kusaidia Jamii- Vodacom Foundation. Madarasa hayo pamoja na madawati yamegharimu zaidi ya sh. milioni 90 zilizotolewa …