WASICHANA 25 kutoka nchini Tanzania wanatarajiwa kufanya majadiliano ya moja kwa moja na mke wa Rais wa Marekani, Bi Michelle Obama wiki ijayo. Wasichana hao ni miongoni mwa wasichana wa nchi tatu watakaoshiriki majadiliano hayo yenye lengo la kumuwezesha mtoto msichana katika masuala mbalimbali na upatikanaji wa fursa. Majadiliano hayo ni tukio litakalofanywa na Shirika la Plan International Tanzania …
NEC Yapongezwa kwa Programu ya Elimu ya Mpiga Kura
Baadhi ya Wanachi wakifuatilia ufunguzi rasmi wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere wilayani Bariadi mkoani Simiyu leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama akipata maelezo kuhusiana na Elimu ya Mpiga Kura alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) …
NMB Mlimani City Wasaidia Watoto Yatima Kituo cha Chakuwama
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mlimani City, Seka Urio akiwa amembeba mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Chakuwama kilichopo Sinza wakati wa hafla fupi ya kutoa msaada iliyofanyika Dar es Salaam leo. Katibu Mtendaji wa Kituo hicho, Hassan Hamisi (kulia), akitoa historia fupi ya kituo hicho. Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo, wakiwa wamewabeba watoto katika hafla …
Wajumbe Baraza la Ardhi Kinondoni Watakiwa Kutobweteka
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kulia), akizungumza na wajumbe wa baraza la ardhi wa wilaya hiyo Dar es Salaam juzi, wakati wakipeana mikakati ya kazi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya migogoro ya ardhi. Mkutano ukiendelea. DC Mjema akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza hilo. Dotto Mwaibale WAJUMBE wa Baraza la …
Rais Dk Magufuli Azungumza na Mabohora Duniani…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Oktoba 08, 2016 amehutubia katika tamasha la madhehebu ya Bohora ambayo yanafanya maadhimisho ya dunia ya sikukuu ya mwaka mpya wa Kiislam Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yamewaleta nchini wafuasi zaidi ya 30,000 kutoka nchi mbalimbali duniani na kuongozwa na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora …
Mjeruhiwa Macho na Scorpion Amliza Paul Makonda…!
Kijana Said Mrisho anayedaiwa kujeruhiwa na kutobolewa macho na Salumu Henjelewe maarufu kama Scorpion (katikati), akisaidiwa na ndugu zake wakati akiingia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kabla ya …