Moto wateketeza soko la Mwanjelwa Mbeya Posted on: September 17, 2011 - jomushi Soko la Mwanjelwa eneo la SIDO Mjini Mbeya likiteketea kwa moto mkubwa uliowaka jana mjini humo. (Picha na Mbeya yetu Blog)