
Mkurugenzi wa Msoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Ephraim Mafuru
akionesha uwezo wake mkubwa wa kupiga danadana (ball Control) wakati wa
Mchujo wa Guinness Football Challenge (GFC) inayoendelea hivi sasa katika
viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki