Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla hiyo.Mkuu wa taaluma na mipango wa GTI, Bi Doroth akitamka kuanza kwa sherehe za Mahafali ya Pili ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia Tanzania (GTI) kwenye hafla ya mahafali hayoWanamahafali wa pili wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) wakiimba wimbo maalumu kuwaburudisha wageni waalikwa katika hafla ya mahafali yaoSehemu ya wanamahafali wa pili wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) wakiimba wimbo maalumu kuwaburudisha wageni waalikwa katika hafla ya mahafali yao.Sehemu ya wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) wakiwa kwenye sherehe za mahafali yao yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) leo Mabibo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (wa pili kushoto) akitoa hotuba yake kwa wanamahafali wa mafunzo ya jinsia katika chuo cha GTI.Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro (kushoto) akiwahutubia wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.Sehemu ya wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) pamoja na wageni waalikwa wakiwa kwenye sherehe za mahafali yao yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) leo Mabibo jijini Dar es Salaam.Sehemu ya wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) pamoja na wageni waalikwa wakiwa kwenye sherehe za mahafali yao yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) leo Mabibo jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Asseny Muro (kushoto) akimtunuku cheti cha jinsia mmoja wa wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Asseny Muro (kushoto) akimtunuku cheti cha jinsia mmoja wa wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) (kulia) akionesha cheti chake mara baada ya kutunukiwa.Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla hiyo.Baadhi ya wageni waalikwa wa mahafali ya pili ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, GTIBaadhi ya wageni waalikwa wa mahafali ya pili ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, GTIMwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Asseny Muro, Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo, Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi na meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na wanamahafali baada ya kutunukiwa vyeti vyao.