
Wananchi wenye hasira wakiwa wamefunga barabara eneo la Kwa Mama John Mbeya kuzuia magari (malori) yanayosafirisha shehena hiyo kwenda nje ya nchi kupita. Mkoa huo kwa sasa una uhaba mkubwa wa nishati ya mafuta.

Wananchi wenye hasira wakiwa wanaviringisha jiwe kulisogeza barabarani ili kufunga barabara eneo la Kwa Mama John Mbeya kuzuia magari (malori) yanayosafirisha mafuta kupita.

Picha zote na Mbeya Yetu Blog.