Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Maxima wa Uholanzi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 11.12.2013.

Malkia Maxima akiongozana na mwenyeji wake Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakiangalia ngoma mbalimbali za utamaduni zilizokuwa zikicheza wakati wa mapokezi ya mgeni huyo Uwanja wa ndege tarehe 11.12.2013.