
Pirikapirika ndani ya Maonesho ya 37 ya Biashara maarufu kama Sabasaba katika viwanja vya J. K. Nyerere leo. Maonesho hayo yalianza Juni 28 na yanatarajiwa kumalizika Julai 8, 2013.

Mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kushoto akimpa maelezo mteja aliyetembelea banda la NSSF katika Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wananchi waliotembelea banda la NSSF wakipata maelezo juu ya hudumba anuai zinazotolewa na shirika hilo leo.

Mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), akimpa maelezo mteja aliyetembelea banda la NSSF katika Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wananchi waliotembelea banda la Arusha International Conference Centre (AICC) wakipata maelezo juu ya hudumba anuai zinazotolewa na taasisi hiyo leo.

Mmoja wa wafanyakazi wa AICC akitoa maelekezo kwa wananchi wanaotembelea banda hilo kujua huduma anuai zinazotolewa na AICC.

Baadhi ya Wananchi waliotembelea banda la Arusha International Conference Centre (AICC) wakipata maelezo juu ya hudumba anuai zinazotolewa na taasisi hiyo leo.

Haya tena hili ni banda la kujifunza kukokotoa hesabu kirahisi katika Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es Salaam. Jifunze hesabu kirahiiiiisi.

Na hapa una kaanga nyama, samaki au kitoewo chochote bila kutumia mafuta katika Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Kanga nyama, samaki au chochote bila kutumia mafuta katika Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es Salaam.