KWA PICHA HII: WAZIRI MKUU WA INDIA NI MFUASI WA CHADEMA?

KWA PICHA HII: WAZIRI MKUU WA INDIA NI MFUASI WA CHADEMA?
Waziri Mkuu wa india Mh. Dr. Manmohan Singh

Mh Dr. Manmohan Singh, ambaye ni waziri mkuu wa India anatarajiwa kutua Bongo muda si mrefu (Tafadhali, rejea taarifa yetu ya awali)  kwa shughuli maalum. Nilipoona picha hii nikastuka kidogo, na kujiuliza itakuwa aje siku ya kutua Bongo halafu anarudia ishara yake ya vidole viwili kama tuonavyo hapo kwenye picha? Nafikiri itakuwa kama Waingereza wasemavyo “Very Interesting!”  Wewe unaona imekaa vipi hii?

Related Post

2 thoughts on “KWA PICHA HII: WAZIRI MKUU WA INDIA NI MFUASI WA CHADEMA?

  1. Hamna,We mwandishi wa habari vipi? Hiyo ni alama ya amani aka peace, Chadema sio waliyoianzisha alama hii

    from: Political Scientist

    1. ‘Political Scientist’ nafikiri muandishi amechokonoa mada ya msingi! Tunajua hiyo ni alama ya Amani, lakini Tanzania inatumiwa na nani? Tena katika minajili ya siasa? Heri yako wewe unayejua kuwa ni alama ya ‘amani’ lakini Watanzania wengi hawalifahamu hilo….wao wanajua ukinyoosha vidole viwili hivyo unashabikia CHADEMA! Na hapo haswa ndio kwenye utamuuuu!!!

Comments are closed.