Kampuni ya Chloride Exide Yakisaidia Kitengo cha Dharura Muhimbili

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Chloride Exide, Gabriel Ondoyo kushoto na Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo, Robert Hiza wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wa Kitengo cha Dharura cha Hospitali ya Muhimbili mara baada ya kampuni hiyo kutoa msaada wa betri mbili kwa ajili ya matumizi katika kitengo hicho.

Meneja  wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel  Ondoyo kulia na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza  wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa  Mkuu wa Kitengo cha Huduma za  Dharura  ‘EmerGency Medicine Profesa, Victor Mwifongo kwa ajili ya  magari ya kitengo hicho Dar es salaam leo kushoto ni Kaimu Dereva Mkuu  Sultan Kitanga na Mkuu wa Idara ya Ufundi ENG,Leonard Elizeus.


Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya  Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kushoto na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni  hiyo Bw, Robert Hiza wakishusha betri walizopeLeka Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Kwaajili ya Msaada katika Kitengo Cha Dharura.
Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya  Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni  hiyo Bw, Robert Hiza wakishusha betri walizopeleka Muhimbili kwaajili ya msaada katika kitengo cha Dharura.


 

Baadhi ya Madereva wa kitengo hicho wakikagua

 

Mkuu wa Madereva wa Kitengo cha Emergency Medicine Bw. Kafuru Rashidi akikagua betri hizo baada ya kukabidhiwa

 

Baadhi ya wahudumu wakiendelea na shughuli zao katika gari la wagojwa kushoto ni Nikijaeli Ngareni na Josephine Lazaro

 

Mkuu  wa Kitengo cha Huduma za Dharurua  ‘Emergency Medicine Profesa, Victor  Mwifongo kushoto akibadilishana namba za mawasiliano na  Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya  Chloride Exide Gabriel Ondoyo  Mratibu wa Masoko wa Kampuni  hiyo Robert Hiza.

Na Mwandishi Wetu

MRATIBU wa Masoko wa Kampuni ya Chloride Exide Bw, Robert Hiza leo ametoa msaada wa Betri mbili katika kitengo  cha Emergency Medicine ya hospitali ya Taifa Muhimbili.

Msaada huo wa kwanza kutoa inaendana na  miaka 50 ya kampuni hiyo ambapo watatoa viti mbalimbali katika hospital  za Serikali vikiwemo Sola kwa ajili ya umeme wa jua. Akipokea msaada huo. Mkuu  wa Kitengo cha Huduma za Dharura  ‘Emergency Medicine Profesa, Victor  Mwifongo amewashukuru kampuni ya Chloride Exide kwa kuliona hilo kwani  ni mara ya kwanza katika kitengo chao kupokea msaada kama huo, na kuwaomba wadau wengine kujitokeza  kusaidia vitu mbalimbali ikiwemo hata magari kama yapo tunaomba msaada  maana hapa kitengo chetu ni cha mambo ya dharura na kinategemewa sana  kama mnavyojua alisema Prof Victor Mwifongo

Naye  Mkuu wa Madereva wa Kitengo cha  Emergency Medicine Bw. Kafuru Rashidi amendelea kutoa shukrani kwa  kampuni hiyo kwa kuliona hilo kwani yeye kama Dereva ameona ni jambo  bora sana