
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Akiagana na Mbunge wa Bunge la Zimbabwe na Mjumbe wa Kamati ya Interparliamentary unity (IPU), Thabitha Khumalo, wakati akiagana na ujumbe wa IPU baada ya mzungumzo na ujumbe huo, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Septemba 11, 2012. Picha na OMR