
Vuai,

Kuu ya CCM Taifa Dk. Ali Mohamed Shein, (wa pili kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,(wapili kushoto) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiimba wimbo wa Chama wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui, katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya
Zanzibar, kilichofanyika.

wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk. Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzotokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika Mjini Dodoma.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]
