
![]() |
| Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (kulia), akimkaribisha Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku wakati wa tafrija hiyo. |
![]() |
| Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke akisoma hotuba yake. |
![]() |
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akisoma hotuba yake. |
![]() |
| Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke akipata ukodak na baadhi ya wageni waalikwa. |
![]() |
| Mambo ya Ukodak, John Merkion na Dada mkubwa bila yeye no visa wakishow love. |
![]() |
| Muziki mkubwa uliporomoshwa na Bendi ya Wakwetu Vibes kutoka pande za Mikocheni. |
![]() |
| Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kazi cha ubalozi huo. |













