Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Bi. Chiku Gallawa akipokea msaada wa Mashuka toka NHIFMkuu wa Mkoa wa Tanga, Bi Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa habari na wafanyakazi, baada ya kupokea msaada huoMeneja wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na wafanyakazi na waandishi wa habariMganga mkuu wa Hospitali ya Rufaa Tanga nae akitoa maelezoMeneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akitoa maelezo
Hongereni sana NHIF kwa kusaidia wana Tanga kunani!