‘FFU Band’ Inawatakia Merry Christ-Mass na Heri ya Mwaka mpya 201 Posted on: December 25, 2013 - jomushi Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya Ngoma Africa band aka FFU Ughaibuni inawatakia Merry Christ-Mass na heri ya mwaka mpya 2014,wadau wote popote pale duniani. Msikose kufurahia Christ-mass kwa kusikiliza muziki at www.ngoma-africa.com