EID MUBARAK WADAU WOTE WA dev.kisakuzi.com! Posted on: August 31, 2011August 31, 2011 - Rungwe Jr. UONGOZI mzima wa dev.kisakuzi.com na wafanyakazi unapenda kuwatakia Waislamu wote ulimwenguni na wadau wengine wa mtandao huu Siku Kuu njema ya Eid. “EID MUBARAK!”