
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini
Unguja.alipowasili Dunga Ofisi Kuu ya Cahama Wilaya ya kati akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi jengo la Afisi ya CCM
Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya kati Unguja katika ziara za
kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM
Cleopatra Saidi Omarn wa Dunga Wilaya ya kati alipoanza ziara ya
Chama cha Mapinduzi katika wilaya hiyo leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
zake wakila kiapo cha Utii baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,Jimbo la Koani Wilaya ya Kati Unguja
katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Dk. Sein Akamilisha Ziara Wilaya ya Kati Unguja.
