
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na Washindi wa Tuzo za mwaka 2012 za Masuala ya Afya, Prof. Ester Mwaikambo (kushoto) na Dk Martha Lemnge mara baada ya kuwakabidhi tuzo zao hii leo. Kulia ni Mkurugenzi wa NIMR, Dk. Mwele Malecela.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali akifungua rasmi Mkutano wa Pamoja wa Kimataifa wa Watafiti Wanasayasi Afrika ulioandalia na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kushirikiana na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Kuambukiza Kusini mwa Afrika (SACIDS) ya Afrika Kusini. Kushotoni Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk. Mwele Malecela. Mkutano huo wa siku nne unafanyika Jijini Arusha.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na Washindi wa Tuzo za mwaka 2012 za Masuala ya Afya, Prof. Ester Mwaikambo (kushoto) na Dk Martha Lemnge mara baada ya kuwakabidhi tuzo zao hii leo.
(SACIDS), Mark Rweyemamu akisoma risala yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo Jijini Arusha.