

Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim iliyoswaliwa katika Msikiti wa Istiqaama, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR 
Bilal, akiagana na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki nao katika swala ya Sikukuu ya Eid El- Haji iliyoswaliwa katika Msikiti wa Istiqaama. Picha na OMR
Dk Bilal Aswali Istiqaama Sikukuu ya Eid El- Hajim
