Na Mwandishi Wetu, Tanga WAJASIRIAMALI mkoani Tanga wametakiwa kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini (MUVI) ili kufanikisha lengo la kuunganisha nguvu…
Continue Reading....Category: Habari za Vijijini
Diwani amkana DC mkutanoni
Na Mwandishi Wetu, Ludewa DIWANI wa Kata ya Ludewa ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Monica Mchiro, amemkana hadharani Mkuu…
Continue Reading....Kijiji cha Mahongole Njombe kujengewa Soko
Na Mwandishi Wetu, Njombe WAKULIMA wa nyanya katika Kijiji cha Mahongole kilichopo mkoa mpya wa Njombe wameahidiwa kujengewa soko na mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini…
Continue Reading....NMB kutoa mikopo kwa wajasiriamali
Na Mwandishi Wetu, Iringa MUUNGANO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) umefanikiwa kuwaunganisha wajasiriamali mkoani Iringa na Benki ya NMB mkoani humo, ili kuwasaidia kujipatia mafaniko zaidi…
Continue Reading....Bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao la mhogo
Maandalizi ya awali ya zao la mhogo kabla ya kutumika kutoa bidhaa anuai za chakula. Miongoni mwa bidhaa zitokanazo na mhogo-hizi ni biskuti na tambi.…
Continue Reading....Wanajeshi wadaiwa kuvamia kijiji Dar
TAARIFA zilizotufikia jana majira ya saa nne asubuhi kutoka nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ni kwamba; watu wanaodaiwa kuwa ni Wanajeshi wa…
Continue Reading....