MUUNGANISHO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) Mkoa wa Ruvuma hivi karibuni umetoa mafunzo kwa maofisa ugani (mabwana/mabibi shamba) wa Wilaya ya Mbinga. Hiyo ni moja ya…
Continue Reading....Category: Habari za Vijijini
Wakulima walioathirika na mvua wapewa mbegu Mbeya
HALMASHAURI ya Wilaya ya Mbeya imetoa msaada kwa wananchi walioathirika na mvua zilizonyesha na kuharibu mazao katika kijiji cha Nsambya Kata ya Iwindi iliyopo katika…
Continue Reading....Wanafunzi walemavu wapimwe kiupekee – Walimu
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Arumeru BAADHI ya walimu wa wanafunzi wenye ulemavu anuai wilayani hapa wameitaka Serikali kuacha utaratibu wa kuwataini wanafunzi wenye ulemavu katika mitihani…
Continue Reading....Mradi wa Uwezeshaji Mifugo (Seed Stock) wa kifuta machozi cha mifugo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amezindua Mradi Kabambe wa Serikali wa Uwezeshaji Mifugo (Seed Stock) wa kutoa kifuta machozi cha…
Continue Reading....