Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 28

Category: Habari za Vijijini

Wanafunzi walemavu Mafinga waipigia magoti Serikali

Posted on: June 17, 2012 - jomushi
Wanafunzi walemavu Mafinga waipigia magoti Serikali

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com- Mafinga WANAFUNZI wenye ulemavu anuai katika Shule ya Msingi Makalala wameiomba Serikali na wadau wengine kuwasaidia kuwajengea mazingira bora ya kujifunzia…

Continue Reading....

Wanakijiji wailalamikia Serikali Kuu

Posted on: June 3, 2012 - jomushi
Wanakijiji  wailalamikia Serikali Kuu

WANAKIJIJI wa kijiji cha Mkambarani Morogoro Vijijini, wameilalamikia Serikali Kuu na halmashauri ya Wilaya kwa kumuingiza mwekezaji kutoka Korea katika kijiji jirani cha Pangawe na…

Continue Reading....

Tunalaani mauaji ya wazee kwa imani za kishirikina

Posted on: May 24, 2012 - Rungwe Jr.
Tunalaani mauaji ya wazee kwa imani za kishirikina

Tangu jana tumekuwa tunaadika habari maalum kuhusu mauaji ya vikongwe mkoani Geita. Habari hiyo imejikita katika tukio la hivi karibuni kabisa la Mei 10, mwaka…

Continue Reading....

Binti asimulia mamaye alivyouawa kinyama

Posted on: May 23, 2012 - Rungwe Jr.
Binti asimulia mamaye alivyouawa kinyama

Ni ukatili usioelezeka, ni kukosa hata chembe ya ubinadamu, hii ni simulizi ya kutisha ya binti aliyeshuhudia mama yake akicharangwa mapanga kutokana na imani za…

Continue Reading....

‘Ashindwa kujiunga na Sekondari Handeni kwa kukosa ada’

Posted on: May 15, 2012 - jomushi
‘Ashindwa kujiunga na Sekondari Handeni kwa kukosa ada’

Na Joachim Mushi, Handeni LICHA ya Serikali kuliarifu Bunge la Tanzania kuwa wanafunzi wote waliofaulu darasa la saba mwaka 2011 kutoka mikoa 12 tayari wamejiunga…

Continue Reading....

Sekondari za Kata Handeni zachochea mimba kwa wanafunzi

Posted on: May 14, 2012 - jomushi
Sekondari za Kata Handeni zachochea mimba kwa wanafunzi

Na Joachim Mushi, Thehabari, Handeni WANANCHI wilayani Handeni wameilalamikia mazingira magumu kimiundombinu ya shule za sekondari za kata katika wilaya hilo na kudai ndiyo chanzo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari