MITI ya michungwa inahitaji uangalizi wa hali ya juu, kitu ambacho wakulima wengi ama hawakijui ama hawakitilii maanani.miti hii hupandwa kwa mbegu za milimao ya…
Continue Reading....Category: Habari za Vijijini
CHAVITA Mkuranga Waomba Kusaidiwa Kielimu
Na Joachim Mushi, Mkuranga CHAMA cha Viziwi Wilaya ya Mkuranga (CHAVITA), kimeiomba Serikali na wadau wengine kuisaidia jamii hiyo ya walemavu iweze kupata fursa za…
Continue Reading....Kangoye azungumzia maendeleo ya Benki ya Vijana
Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Tanzania Youth Development Agenda (TAYODA), imesema mchakato wake wa kuanzisha benki ya vijana kwa lengo la kuwakomboa na kupata mikopo…
Continue Reading....Wanakijiji kuishtaki Serikali Umoja wa Mataifa
Augustine Mgendi, Buhemba WANANCHI wa vijiji vitatu wanaozungukwa na Mgodi wa Buhemba, Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamekusudia kuishtaki Serikali ya Tanzania katika Taasisi za…
Continue Reading....Mama wa mwanafunzi aliyeshindwa kujiunga na sekondari Handeni afariki dunia
Na Joachim Mushi, wa dev.kisakuzi.com MAMA wa mwanafunzi Mwenjuma Magalu aliyechaguliwa kujiunga na Shule ya Sekondari Komnyang’anyo wilayani Handeni na kushindwa kujiunga na shule hiyo…
Continue Reading....Kituo cha afya chakatiwa umeme, wajawazito wajifungua na chemli
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Kishapu KITUO cha Afya kilichopo Kata ya Songwa, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kimekatiwa umeme kwa takribani miezi saba sasa kikidaiwa bili…
Continue Reading....