Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 24

Category: Habari za Vijijini

Wanafunzi wala mlo mmoja

Posted on: March 21, 2013 - admin
Post Tags: elimu, mlo, shule, umasikini
Wanafunzi wala mlo mmoja

Na Mwandishi wa Daraja MOJA ya changamoto inayowakabili wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipagalo na Shule ya Msingi Mahulu, zilizopo Makte Njombe ni kutopata chakula…

Continue Reading....

Hatimaye mwalimu kuchekelea

Posted on: March 20, 2013 - admin
Post Tags: elimu, ludewa, njombe, shule
Hatimaye mwalimu kuchekelea

    Na Mwandishi wa Shirika la Daraja HATIMAYE Shule ya Msingi Kibeto iliyopo Kijiji cha Madindo, Ludewa, Mkoa wa Njombe inatarajiwa kupata walimu baada…

Continue Reading....

Katavi Watakiwa Kulima Kilimo cha Kisasa

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Katavi Watakiwa Kulima Kilimo cha Kisasa

Na Anna NKinda – Maelezo, aliyekuwa Mpanda WAKAZI wa Katavi wametakiwa kulima kilimo cha kisasa na kufuata ushauri wa wataalamu wa kilimo ili waweze kuvuna…

Continue Reading....

Jerry Silaa Apongezwa Ujumbe Kamati Kuu na Halmshauri Kuu ya CCM

Posted on: February 19, 2013 - jomushi
Jerry Silaa Apongezwa Ujumbe Kamati Kuu na Halmshauri Kuu ya CCM

Baadhi ya kinamama wa Gongo la Mboto ambao ni wananchama wa CCM wakiwasili kwenye Uwanja uliopo karibu na reli Gongo la Mboto katika mkutano wa…

Continue Reading....

Mke wa Rais Kikwete Awataka Wanalindi Kuendelea Kulima Mtama

Posted on: February 17, 2013 - jomushi
Mke wa Rais Kikwete Awataka Wanalindi Kuendelea Kulima Mtama

Na Anna Nkinda – Maelezo , Lindi WANANCHI wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kurudia kulima kwa wingi zao lao la chakula la mtama kwani zao…

Continue Reading....

Handeni, Kilindi Wazimia kwa Njaa

Posted on: February 8, 2013February 8, 2013 - jomushi
Handeni, Kilindi Wazimia kwa Njaa

WAKATI wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha njaa ikisababisha baadhi ya wanaume kukimbia familia zao, Wilaya ya Handeni na Kilindi mkoani Tanga, baadhi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari