Moja ya madarasa katika Shule ya Msingi Dihinda iliyopo kata ya Mvomero ambalo limejengwa na Shirika la Room to Read. *Ni shirika pekee lenye mradi…
Continue Reading....Category: Habari za Vijijini
Amuua Baba Yake kwa Ushirikina
JESHI la Polisi mkoani Rukwa linamsaka Richard Jecap (30) mkazi wa kitongoji cha Matai A kwa tuhuma za kumuua baba yake kwa kumpiga mpini kichwani…
Continue Reading....Ushahidi Kesi za Kubaka/Mimba ni Changamoto Handeni
Na Joachim Mushi, Handeni “KESI nyingi za tuhuma za kubaka na mimba kwa wanafunzi zinazotufikia zinashindwa kufikia hukumu maana mashahidi wanashindwa kuthibitisha pasipo shaka…nyingi zinaharibika…
Continue Reading....Mwanafunzi Kidato cha Pili Abebeshwa Mzigo Kulea Familia
Na Joachim Mushi, Handeni MWANAFUNZI wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Komnyang’anyo, Mwenjuma Magalu (16) amejikuta akibeba mzigo wa kulea familia baada ya familia…
Continue Reading....Mwenjuma Magalu: TAMWA Imerejesha Ndoto Zangu Kielimu
Na Joachim Mushi, Handeni “BAADA ya kumaliza darasa la saba nilichaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari, lakini sikufanikiwa kuendelea na elimu hiyo kutokana na uwezo…
Continue Reading....Utafiti wa TAMWA Wamrudisha Mwanafunzi shuleni Handeni
Na dev.kisakuzi.com, Handeni UTAFITI wa kihabari uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), Machi 2012 umefanikisha kumrudisha shuleni mwanafunzi wa sekondari aliyekuwa…
Continue Reading....