Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 21

Category: Habari za Vijijini

Wanakijiji Twabagondozi Wamuomba Pinda Mil. 660 za Mradi

Posted on: October 4, 2013October 4, 2013 - jomushi
Wanakijiji Twabagondozi Wamuomba Pinda Mil. 660 za Mradi

  WAKAZI wa Kijiji cha Twabagondozi wilayani Kibondo, Kigoma wamemuomba Waziri Mkuu Mizengo Pinda awasadie kuharakisha upatikanaji wa zaidi ya sh. milioni 660 ili waweze…

Continue Reading....

Waziri Pinda Kugawa Mizinga ya Nyuki 100 ya Kisasa Kibondo

Posted on: October 4, 2013 - jomushi
Waziri Pinda Kugawa Mizinga ya Nyuki 100 ya Kisasa Kibondo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kutoa fedha za kununua mizinga kati ya 100 na 200 kwa ajili ya wanakijiji wa Biturana, wilayani Kibondo, mkoani Kigoma…

Continue Reading....

Ugonjwa Usiojulikana Wamtesa Mwandishi wa Habari Tanga

Posted on: September 9, 2013 - jomushi
Ugonjwa Usiojulikana Wamtesa Mwandishi wa Habari Tanga

Na Dotto Mwaibale, Tanga ZUBERI Mussa ambaye ni mpiga picha mkongwe katika vyombo mbalimbali vya habari nchini ambaye kwa sasa anafanyakazi kampuni ya New Habari…

Continue Reading....

Ni Ukatili wa Kutisha, Mume Amnyonga Mkewe Hadi Kufa

Posted on: August 5, 2013 - jomushi
Ni Ukatili wa Kutisha, Mume Amnyonga Mkewe Hadi Kufa

MWANAMUME mmoja amemnyonga hadi kufa mke wake na yeye akauawa na wananchi wenye hasira, katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Tukio hilo lililothibitishwa na polisi…

Continue Reading....

Maji Yawatesa Akinamama na Wanafunzi Kishapu

Posted on: July 29, 2013July 29, 2013 - jomushi
Maji Yawatesa Akinamama na Wanafunzi Kishapu

Na Joachim Mushi, Kishapu WASWAHILI wanasema ‘maji ni uhai’ na maisha bila maji ni kadhia. Kimsingi mwanadamu anahitaji maji safi na salama katika kuendesha maisha…

Continue Reading....

Uzazi Pasipo Mipango Unavyowatesa Wanawake Kishapu

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
Uzazi Pasipo Mipango Unavyowatesa Wanawake Kishapu

Na Joachim Mushi, Kishapu WASUKUMA ni moja ya makabila nchini Tanzania ambayo awali yalishikilia desturi ya familia kuwa na idadi kubwa ya watoto. Familia moja…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari