Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 16

Category: Habari za Vijijini

Walimu Wamshushia Kipigo Mwanafunzi, Alazwa Hospitalini Kisa Mchango wa Sherehe

Posted on: March 5, 2014 - jomushi
Walimu Wamshushia Kipigo Mwanafunzi, Alazwa Hospitalini Kisa Mchango wa Sherehe

Yohane Gervas, Rombo WALIMU wawili wa Shule ya Sekondari Ubaa iliyopo katika tarafa ya Mkuu Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wanatuhumiwa kumshambulia na kumjeruhi vibaya…

Continue Reading....

Ahukumiwa Miaka 30 kwa Kumbaka Mwanafunzi Std II

Posted on: February 27, 2014 - jomushi
Ahukumiwa Miaka 30 kwa Kumbaka Mwanafunzi Std II

Yohane Gervas, Rombo MAHAKAMA ya Wilaya ya Rombo imemuhukumu Joseph Didas (39) mkazi wa Kijiji cha Ubaa Tarafa ya Mkuu Wilaya ya Rombo kutumikia kifungo…

Continue Reading....

Zuio la Unywaji Pombe Rombo Lagonga Ukuta

Posted on: February 15, 2014 - jomushi
Zuio la Unywaji Pombe Rombo Lagonga Ukuta

Yohane Gervas, Rombo LICHA ya juhudi mbalimbali zinazoendelea kufanywa na Serikali katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro za kuzuia ulevi muda wa kazi pamoja na…

Continue Reading....

Mwanamke na Changamoto za Maisha Vijijini

Posted on: February 13, 2014February 13, 2014 - jomushi
Mwanamke na Changamoto za Maisha Vijijini

MWANAMKE maeneo anuai amekuwa akikumbana na changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku, lakini kwa kundi la wanawake vijijini changamoto hizi zimekuwa ni maradufu ukilinganisha…

Continue Reading....

Maria: Mume Aliyenikatisha Darasa la Sita, Kanitelekeza na Watoto Wanne

Posted on: February 10, 2014 - jomushi
Maria: Mume Aliyenikatisha Darasa la Sita, Kanitelekeza na Watoto Wanne

Na Joachim Mushi, Aliyerejea Nkasi MATUKIO ya utelekezaji wa mke na watoto nchini Tanzania bado ni changamoto kubwa katika jamii. Licha ya matukio haya kutofautiana…

Continue Reading....

Maria: Mume Wangu Aliiongopea Mahakama Ikavunja Ndoa Yetu

Posted on: February 6, 2014 - jomushi
Maria: Mume Wangu Aliiongopea Mahakama Ikavunja Ndoa Yetu

Nkasi, Rukwa NOVEMBA 18, 2013 Mahakama ya mwanzo, Namanyere, Wilaya ya Nkasi iliamua kuvunja ndoa ya Ndebile Kazuri na Bi. Maria Tarafa wote wakazi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari