Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 14

Category: Habari za Vijijini

Asasi Zinazopata Ruzuku LSF Zamaliza Ziara ya Siku Tatu ya Tathmini

Posted on: May 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Asasi na Ruzuku
Asasi Zinazopata Ruzuku LSF Zamaliza Ziara ya Siku Tatu ya Tathmini

MAOFISA Miradi pamoja na Maofisa Wakaguzi na Tathmini Miradi toka mashirika matano ya Kiraia yanayopata ruzuku kutoka Mfuko wa Msaada wa Kisheria (LSF) Tanzania, yamemaliza…

Continue Reading....

Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe

Posted on: April 30, 2014 - jomushi
Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini BAADHI ya akinamama na wanakijiji wa baadhi ya vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wamewalalamikia wauguzi na…

Continue Reading....

Mzee Auwawa Kikatili Wilayani Rombo

Posted on: April 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Auwawa Kikatili, featured
Mzee Auwawa Kikatili Wilayani Rombo

MKAZI wa Kijiji cha Mahida Nguduni, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Dominick Kavishe (65) mkulima ameuwa kikatili kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali katika…

Continue Reading....

‘Ushirikina’ Wakwamisha Mapambano ya Mimba kwa Wanafunzi Mbeya Vijijini

Posted on: April 26, 2014April 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mimba kwa Wanafunzi
‘Ushirikina’ Wakwamisha Mapambano ya Mimba kwa Wanafunzi Mbeya Vijijini

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini VITISHO na hofu ya vitendo vya ushirikina imebainika kuwa vikwanzo vya mapambano ya baadhi ya watu wanaowatia mimba wanafunzi wa…

Continue Reading....

Wanavijiji Mbeya Walaumiana Udhibiti wa Mimba kwa Wanafunzi

Posted on: April 25, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mimba kwa Wanafunzi
Wanavijiji Mbeya Walaumiana Udhibiti wa Mimba kwa Wanafunzi

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini WANAVIJIJI wa vijiji vya Shibolya, Usoha Njiapanda, Simambwe, Ikhoho na Ilembo Usafwa vyote vya wilayani Mbeya Vijijini wametupiana lawama kuhusiana…

Continue Reading....

Ulevi Waanza Kupungua Wilaya ya Rombo

Posted on: April 19, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Ulevi
Ulevi Waanza Kupungua Wilaya ya Rombo

Yohane Gervas, Rombo KASI ya ulevi katika Wilaya ya Rombo imeelezwa kuwa imeanza kupungua baada ya serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleo wilayani humo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari