Mabingwa watetezi Barcelona watacheza klabu nyingine ya Uhispania, Atlético Madrid mechi hiyo ikiwa kama marudio ya robofainali msimu wa 2013/14. Atlético walishinda 1-0 na mechi…
Continue Reading....Category: Michezo
Aubameyang Rekodi Juu ya Rekodi Mpya
Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang amevunja moja ya rekodi za uchezaji soka nchini Ujerumani. Mchezaji huyo kutoka Gabon ndiye mchezaji kutoka Afrika…
Continue Reading....Chelsea Yapata Kocha Mpya Ambaye ni………
Meneja wa timu ya taifa ya Italia Antonio Conte ameteuliwa kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea ya Uingereza, kwanzia mwisho wa msimu huu. Mkufunzi…
Continue Reading....Serengeti Boys Yaapa Kuwasambaratisha Pharaohs
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kiingilio cha shilingi elfu mbili tu (2,000) kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kirafiki wa kimataifa…
Continue Reading....Timu ya NMB Yamkabidhi Kikombe cha Ushindi Mkurugenzi Mtendaji
NAHODHA wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Benki ya NMB, Richard Mwalwiba amekabidhi rasmi vikombe vya ushindi wa Mashindano ya Ligi ya Mabenki ‘Brazuka…
Continue Reading....Simba SC Waishtukia TP Mazembe Mgao wa Samatta
TP Mazembe ambayo ilimuuza Mbwana Samatta kwa timu ya KRC Genk ya Ubelgiji ikadaka fedha zake, jambo la kushangaza hadi leo Simba haijalipwa sehemu ya…
Continue Reading....