Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 6

Category: Michezo

Vincent Kompany Aponea Chupuchupu

Posted on: November 11, 2016 - Yohana Chance
Vincent Kompany Aponea Chupuchupu

Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany hana jeraha lolote, licha ya kutolewa kwake katika mechi waliotoka sare ya bao moja kati ya Ubelgiji na Uholanzi.…

Continue Reading....

Wenger Awapigia Magoti Chile

Posted on: November 11, 2016 - Yohana Chance
Wenger Awapigia Magoti Chile

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameiomba Chile kutomuweka hatarini mshambuliaji Alexis Sanchez mechi ya taifa hilo ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay.…

Continue Reading....

Madaktari Manchester United Wamchafua Mourinho

Posted on: November 10, 2016 - Yohana Chance
Madaktari Manchester United Wamchafua Mourinho

Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anachunguza kila kitu kuhusu kikosi chake cha kwanza baada ya kusikitishwa na utamaduni aliorithi katika klabu hiyo. Mourinho inadaiwa…

Continue Reading....

Nape Nnauye ‘Awapasha’ Wadau wa Michezo

Posted on: November 9, 2016 - jomushi
Nape Nnauye ‘Awapasha’ Wadau wa Michezo

  Anitha Jonas – WHUSM, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ametoa wito kwa wadau wamichezo nchini…

Continue Reading....

Nyuki Wavamia Mechi ya Ruvu Shooting na African Lyon…!

Posted on: November 3, 2016 - jomushi
Nyuki Wavamia Mechi ya Ruvu Shooting na African Lyon…!

   ‘Ni kama wanasema ‘Nyuki hao bado wapo tuendelee kujificha chini ya viti”    Watu wazima chini ya viti ‘Chezea nyuki wewe’

Continue Reading....

Malinzi Aula CAF Kamati ya Mageuzi

Posted on: October 31, 2016 - Yohana Chance
Malinzi Aula CAF Kamati ya Mageuzi

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika, Issa Hayatou ameteua Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa miongoni mwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari