KAMATI ya Tiba ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inafanyia uchunguzi kifo cha mchezaji wa Mbao FC, Ismail Mrisho Khalfan aliyefariki jana wakati wa mchezo…
Continue Reading....Category: Michezo
Mourinho Kuchunguzwa Kwa ukwepaji wa Ulipaji Kodi
Mbunge mmoja nchini Uingereza amesema kuwa mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anafaa kuchunguzwa na maafisa wa Uingereza kufuatia madai kwamba alitumia kampuni za kigeni…
Continue Reading....Waziri wa Michezo Aridhishwa Ukarabati Uwanja wa Nyamagana
Waziri Nhauye ameeleza kuridhishwa na uwekaji wa nyasi bandia kwenye uwanja huo ambapo amewashukuru wadau wote waliofanikisha ukarabati wake wakiwemo wajasiriamali Jijini Mwanza ambao kodi…
Continue Reading....Wamareka Waanza Kung’ara Tour of Rwanda
Mmarekani Ruggy Timothy ndiye aliyeshinda raundi ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya mbio za kimataifa za baiskeli maarufu Tour of Rwanda yaliyoanza mjini Kigali.…
Continue Reading....Robert Lewandowski Azua Balaa Uwanjani
Mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski aliangukiwa na fashifashi iliyorushwa kutoka jukwaa la watazamaji katika pambano lililokuwa na hamasa nyingi kati ya Poland na Romania. Mshambuliaji…
Continue Reading....Taifa Stars Yaifuata Zimbabwe Kukiminya Kesho kutwa
Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro kutoka Kampuni ya Bia Tanzania imeondoka leo Ijumaa saa 7.15 mchana…
Continue Reading....