Shirikisho la kabumbu la kimataifa FIFA limezifanyia marekebisho kanuni kadhaa za mchezo unaopendwa ulimwenguni wa dimba. Lengo ni kujaribu kuurahisisha mchezo huo. Siku kumi kabla…
Continue Reading....Category: Michezo
Jangwani Watu Wamiminika Kuchukua Fomu
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), iliyopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wa Klabu ya Young Africans imeridhishwa na mwenendo wa wanachama kwa…
Continue Reading....Magaidi Yahofiwa Kushambulia Michuano ya Euro 2016
TAIFA la Marekani linahofia kwamba huenda michuano ya soka ya Euro 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa mwezi ujao ikashambuliwa na magaidi. Idara ya masuala ya kigeni…
Continue Reading....Wagaboni Wapewa Rungu la Kuamua kati ya Stars na Misri
Waamuzi wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Mapharao wa Misri utakaofanyika Jumamosi Juni 4, 2016 Uwanja…
Continue Reading....Dogo wa Manchester United Apiga Mkataba wa Maisha
Mshambulizi chipukizi wa Manchester United Marcus Rashford ametia sahihi mkataba mpya utakaohakikisha anasalia Old Trafford hadi Juni 2020. Chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 18…
Continue Reading....Lionel Messi Kupandishwa Kizimbani Kesho
Nyota wa Argentina Lionel Messi, mmoja wa wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani, anafikishwa kizimbani kesho mjini Barcelona kwa tuhuma za kuipunja Uhispania kwa kukwepa…
Continue Reading....