Ligi kuu ya Ujerumani ni miongoni mwa ligi sita kubwa ambazo zitaufanyia majaribio mfumo wa matumizi ya waamuzi wasaidizi wa kutumia video yaani Video Assistant…
Continue Reading....Category: Michezo
Vardy Kutua Arsenal, Zlatan Ndani ya Man United
Mchezaji wa timu ya taifa ya uigereza Jamie Vardy mwenye umri wa miaka 29 kutoka Leicister City anatarajiwa hii leo kutoa majibu iwapo atajiunga na…
Continue Reading....Copa America Yazidi Utamu, Timu Zajipigia tu
katika Mechi za Copa America ambazo zilikuwa zinapigwa usiku wa kuamkia leo matokeo ni kuwa Haiti wamepigwa 1-0 na Peru, Brazil na Equador wakatoshana nguvu…
Continue Reading....StarTimes Kurusha Michuano ya Copa America…!
 Wateja wakinunua ving’amuzi vya StarTimes kwa bei ya shilingi 22,000/- vilivyounganishwa na ofa ya kifurushi cha Mambo chenye chaneli za Sports Focus na World Football…
Continue Reading....Pep Gaurdiola Aingiza Jembe la Kwanza Manchester City, Alves Kuondoka Barca
Klabu ya Manchester City imemsajili kiungo wa kati wa Ujerumani IIkay Gundogan kutoka kwa kilabu ya Borussia Dortmund kwa mkataba wa miaka minne. Mchezaji huyo…
Continue Reading....Samatta na Ulimwengu Kuwavaa Waarabu
Mbwana Samatta akitarajiwa kuwasili usiku wa Juni 1, 2016 kutoka Genk Ubelgiji, tayari Thomas Ulimwengu kutoka TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amejiunga…
Continue Reading....