Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 373

Category: Michezo

Obren Cucovick aanza mazoezi na Azam FC

Posted on: June 21, 2011 - jomushi
Obren Cucovick aanza mazoezi na Azam FC

Na Jaffer Idd MLINDA mlango mpya wa kimataifa wa timu ya Azam FC Obren Cucovick kutoka Serbia ameanza mazoezi na klabu yake mpya ya baada…

Continue Reading....

Vijana watolewa Nigeria, Simba waangukia pua Kinshasa

Posted on: June 20, 2011 - jomushi
Vijana watolewa Nigeria, Simba waangukia pua Kinshasa

Benin, Nigeria TIMU ya U-23 ya Tanzania imeshindwa kuwatambia vijana wenzao wa Nigeria baada ya kukubali kufungwa mabao 3-0 katika mechi ya marudiano kwenye uwanja…

Continue Reading....

Timu ya soka Tanzania under 23 yawasili Lagos

Posted on: June 17, 2011 - Rungwe Jr.
Timu ya soka Tanzania under 23 yawasili Lagos

Na Boniface Wambura, Lagos Timu ya U23 imewasili salama hapa saa 6.30 mchana kwa ndege ya Kenya Airways kabla ya kuunganisha ndege ya Concord Airlines…

Continue Reading....

MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME

Posted on: June 15, 2011 - admin
MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Kagame yanayoshirikisha klabu bingwa za nchi wanachama wa Baraza la…

Continue Reading....

POULSEN, MAKOCHA KUTETA DAR

Posted on: June 15, 2011 - admin
POULSEN, MAKOCHA KUTETA DAR

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen pamoja na Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Sunday Kayuni watakutana na makocha…

Continue Reading....

Mazembe waendelea kupigania rufaa, sasa kutua FIFA

Posted on: June 14, 2011June 14, 2011 - jomushi
Mazembe waendelea kupigania rufaa, sasa kutua FIFA

MABINGWA Watetezi wa Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika, TP Mazembe, kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imesema inatarajia kuwasilisha rufaa yake Shirikisho la Mchezo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari