Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 34

Category: Michezo

Yanga Wapigwa Faini na CAF Kwa Kumzomea Mwamuzi

Posted on: July 11, 2016 - Yohana Chance
Yanga Wapigwa Faini na CAF Kwa Kumzomea Mwamuzi

SHIRIKISHO la Soka Afrika limeitoza faini ya dola za Kimarekani 10,000 klabu ya Yanga baada ya wachezaji wake kumzonga refa katika mchezo dhidi ya Sagrada…

Continue Reading....

Malinzi Atuma Salam Za Rambirambi TASWA

Posted on: July 11, 2016 - Yohana Chance
Malinzi Atuma Salam Za Rambirambi TASWA

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma…

Continue Reading....

Portugal Yatwaa Ubingwa wa Euro 2016…!

Posted on: July 10, 2016 - jomushi
Post Tags: Euro 2016
Portugal Yatwaa Ubingwa wa Euro 2016…!

                TIMU ya Portugal imetwaa ubingwa wa Ulaya ‘Euro 2016’ baada ya kuifunga France goli moja kwa mtungi.…

Continue Reading....

Muro wa Yanga Afungwa Mwaka Mmoja

Posted on: July 8, 2016July 8, 2016 - Yohana Chance
Muro wa Yanga Afungwa Mwaka Mmoja

MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Jerry Muro amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka pamoja na kutozwa faini ya…

Continue Reading....

Ufaransa Kuikabili Ureno Fainali ya Euro 2016

Posted on: July 8, 2016 - Yohana Chance
Ufaransa Kuikabili Ureno Fainali ya Euro 2016

Ufaransa imetinga katika hatua fainali ya Kombe la Mataifa barani Ulaya kwa mwaka huu baada ya kuifunga Ujerumani 2 – 0. Mshambuliaji Antoine Griezmann ndiye…

Continue Reading....

Cristiano Ronaldo Akatisha Ndoto za Wales

Posted on: July 7, 2016 - Yohana Chance
Cristiano Ronaldo Akatisha Ndoto za Wales

Ureno imekuwa nchi ya kwanza kuingia fainali ya michuano ya Euro baada ya kuzima ndoto za Wales kwa kuichapa magoli 2 – 0 katika mechi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari