Orodha ya wachezaji walioachwa na kusajiliwa dirisha dogo Ligi Kuu ya Vodacom

LIGI KUU YA VODACOM 2011 – 2012 WACHEZAJI WALIOACHWA – YANGA SC No Jina la Mchezaji Klabu Anayotoka Klabu Anayohamia 1 Fred Wilfred Mbuna YANGA SC MORO UNITED 2 Julius Patrick Mrope YANGA SC MORO UNITED (kwa mkopo) WACHEZAJI WALIOSAJILIWA – YANGA SC No Jina la Mchezaji Klabu Anayotoka Klabu Anayohamia 1 Athuman Idd HURU YANGA SC 2 Atif Amour …

Ethiopia, Djibouti na Somalia zaaga mashindano ya Tusker

Na Mwandishi Wetu TIMU za Somalia, Djibouti na Ethiopia leo zimeyaanga rasmi mashindano ya Kombe la Tusker Chalenji jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika Uwanja wa Taifa nchini Tanzania Somalia imekuwa ya kwanza kuaga mashindano hayo baada ya kufungwa michezo yote kwa jumla ya magoli 11. Timu za Djibouti yenyewe imeyaanga mashindano ya Tusker baada ya kukubali kichapo cha magoli …

Wachezaji 1,200 watoto kushiriki tamasha

Na Mwandishi Wetu WACHEZAJI mpira wa miguu (wasichana na wavulana) wenye umri kuanzia miaka 6-12 kutoka Mkoa wa Dar es Salaam watashiriki katika tamasha (festival) litakalofanyika Desemba 17 mwaka huu Uwanja wa Taifa. Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari leo Dar es Salaam, Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura amesema tamasha hilo litatanguliwa …

Ngorongoro Heroes kwenda Botswana kesho

KIKOSI cha wachezaji 20 wa timu ya Taifa kwa vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) na viongozi watano kinatarajia kuondoka Novemba 30 mwaka huu kwa ndege ya Precision Air kwenda Gaborone, Botswana. Ngorongoro Heroes itaondoka saa 20.20 usiku kupitia Johannesburg, Afrika Kusini kwenda huko kushiriki michuano ya umri huo ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa …

Rashid Matumla kuzichapa na Maneno Osward

Na Mwandishi Wetu MABONDIA Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ wanatarajia kupanda ulingoni Desemba 25 mwaka huu, kuzichapa katika pambano lisilo la ubingwa. Pambano hilo linatarajia kuwa la raundi 10 uzito wa kati litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Heinken, Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Adios Promotion, Shabani Adios ambaye ndiye muandaaji wa …

Djibout mikono juu kwa Zimbabwe yalala 2-0

Michuano ya Mataifa ya ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP imendelea mjini Dar es Salaam nchini Tanzania ambapo timu mwalikwa wa mashindano hayo Zimbabwe imeifunga timu ya Djibout kwa magoli 2 -0 katika mchezo wa kundi A. Nazo Zanzibar na Burundi zimetoka sare bila kufungana katika mchezo wa pili wa kundi B. Ikiwa ni mechi yake …