Na Mwandishi Wetu TIMU ya kombaini ya Coca Cola iliyotokana na michuano ya Copa Coca Cola inaondoka kesho alfajiri (Desemba 17 mwaka huu) kwenda Johannesburg, Afrika Kusini kwenye kambi maalumu ya mafunzo ya mpira wa miguu. Wachezaji 14 wanaoondoka ni Peter Manyika, Abdul Mgaya, Pascal Matagi, Mohamed Hussein, Mbwana Ilyasa, Farid Musa, Suleiman Bofu, Salvatory Raphael, Paul James, Miraji Adam, …
Wachezaji 25 waitwa Twiga Stars kuikabili Namibia
Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars), Charles Boniface Mkwasa leo (Desemba 16 mwaka huu) ametaja kikosi cha wachezaji 25 kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la mataifa ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Namibia. Mechi ya kwanza itachezwa jijini Windhoek, Namibia kati ya Januari 14 na 15 mwaka huu, na …
TFF yawataja 37 watakao shiriki semina ya Grassroots
Na Mwandishi Wetu WASHIRIKI 37 wameteuliwa kushiriki katika semina ya grassroots inayolenga wachezaji mpira wa miguu (wasichana na wavulana) wenye umri kuanzia miaka 6-12 kutoka Mkoa wa Dar es Salaam itakayofanyika kuanzia Desemba 14-17 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa hiyo, leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari, Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura amesema, mbali …
Mechi za Tusker Chalenji zaingiza mil 267
Na Mwandishi wetu MECHI 26 za michuano ya 35 ya CECAFA Tusker Challenge Cup iliyofanyika Dar es Salaam kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 mwaka huu, zimeingiza jumla ya sh. 267,066,000. Michuano hiyo iliyoandaliwa na Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ilishirikisha timu za mataifa 12. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na TFF, …
Hatimaye Man City yafungwa Chelsea
PENATI ya Frank Lampard ndiyo iliyowapa ushindi Chelsea na hii ilikuwa mechi ya kwanza ambayo viongozi wa ligi, Manchester City wamepoteza msimu huu. Lampard – ambaye kwa mara nyingine hakujumuishwa kwenye kikosi cha kwanza na kocha Andre Villas-Boas – aliingizwa kama mchezaji wa akiba na akafunga dakika saba kabla ya mechi kumalizika baada ya Joleon Lescott kuunawa mpira katika eneo …
‘Mwanaume’ Tusker Chalenji ajulikana
*Ni Timu ya Taifa ya Uganda, yatwaa Kombe na USD 30,000 Na Joachim Mushi HAYAWI hayawi! sasa yamekuwa, hatimaye kidume wa Mashindano ya Kombe la Tusker Chalenji linalodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) amejulikana leo katika Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam. Kidume ni Timu ya Taifa ya Uganda ambayo imefanikiwa kuing’oa Timu ya Taifa …