16 wajitokeza kuomba ajira ya Ofisa Ligi Kuu

*Kanyenye arejeshewa ulaji FIFA MCHAKATO wa kumpata Ofisa wa Ligi bado unaendelea. Kamati ya Ligi ilipitia maombi ya watu 16 yaliyowasilishwa TFF kwa nafasi ya Ofisa huyo kwa ajili ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza. Mwisho wa kutuma maombi ilikuwa Desemba 28 mwaka jana. Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura amesema maombi yote 16 yalipitiwa ambapo waliopita katika …

TFF yafanya mabadiliko Ligi Kuu Vodacom

*Ligi Daraja la Kwanza Bara Feb 4 SIKU za mechi kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2011/2012 ambayo itaanza mzunguko wake wa pili Januari 21 mwaka huu sasa itakuwa ni Jumamosi, Jumapili na Jumatano tu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia kwa Ofisa Habari wake, jana Boniface Wambura imesema uamuzi huo …

PrecisionAir kuisafirisha Twiga Stars

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya ndege ya PrecisionAir imetoa msaada wa tiketi zenye thamani ya sh. milioni 27.8 kwa timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) zitakazoisafirisha timu hiyo kwenda na kurudi nchini Afrika Kusini. Twiga Stars Januari 14 mwaka huu inatarajia kucheza na Namibia jijini Windhoek kuwania nafasi ya kucheza fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC). Akitangaza msaada huo …

Fidia ya Kimbangulile kwa Samata yakwama

*TFF yaonya usajili dirisha dogo 2011/2012 KAMATI ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya uenyekiti wa Alex Mgongolwa ilikutana Desemba 30 mwaka jana kupitia masuala mbalimbali yaliyowasilishwa mbele yake ikiwemo taarifa ya uamuzi wa timu ya Kimbangulile kukata rufani Kamati ya Rufani kupinga uamuzi wake juu ya mchezaji Mbwana Samata. …

TFF yamlilia mchezaji Rashid Moyo

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa, Rashid Moyo kilichotokea usiku wa Desemba 25 mwaka huu kwao Msambweni, Tanga. TFF imesema hayo leo katika taarifa yao kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Ofisa Habari wa shirikisho hilo, Boniface Wambura. Katika taarifa hiyo Wambura amesema Moyo …

Utovu wa nidhamu wamgharimu Suarez

Taarifa za hivi punde za michezo zinasema mshambuliaji wa klabu ya kandanda ya Liverpool, Luis Suarez amesimamishwa kucheza mechi moja na kutozwa faini ya paundi 20,000 na ameonywa kuchunga tabia yake siku zijazo baada ya kukiri mashtaka yaliyoainishwa na Chama cha Soka cha England juu ya utovu wake wa nidhamu. Suarez hatacheza mechi ya siku ya Ijumaa Liverpool watakapopambana na …