Na Mwandishi Wetu TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana ilishindwa kuonesha cheche za kucheza katika uwanja wa nyumbani (Uwanja wa Taifa Dar es Salaam) baada ya kutoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa kirafiki na Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kiodemokrasia ya Congo-DRC. Mchezo huo ulikuwa ni kwa ajili ya kujipima nguvu kabla ya mapambano ya …
TFF yafuta uchaguzi wa DRFA, yatoa maelekezo kwa wanachama wote
Na Joachim Mushi KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) imefuta uchaguzi wa Chama Cha Soka Mkoani Dar es Salaam (DRFA) uliokuwa ufanyike Machi 18, 2012. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa mtandao huu kutoka TFF na kusainiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi TFF, Deogratias Lyatto baada ya kufutwa kwa uchaguzi huo imetoa maelekezo kwa …
Kiingilio mechi ya Stars na DRC sh 2,000
Na Mwandishi Wetu KIINGILIO kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya Taifa Stars na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) itakayofanyika Februari 23 mwaka huu kitakuwa sh. 2,000 kwa viti vya kijani na bluu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na TFF kupitia kwa Ofisa Habari wake, Boniface Wambura; mechi itachezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es …
Kocha wa DRC awasili, timu kutua Jumanne
Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Claude Le Roy na msaidizi wake wamewasili nchini jana (Februari 18 mwaka huu) mchana kwa ndege ya Emirates wakitokea Paris, Ufaransa tayari kwa mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Taifa Stars. Mechi hiyo itafanyika Februari 23 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar …
Papic: Nomba radhi kwa sare hii
*Kocha Simba awashangaa wachezaji wake KOCHA wa Yanga, Kosta Papic ameomba radhi kwa matokeo mabaya iliyopata timu yake kwa mchezo wa kwanza wa raundi ya awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zamalek ya Misri. Katika mchezo huo ambayo Yanga imejiweka njia panda, inahitaji ushindi ama sare ya 2-2 iweze kusonga mbele. Kwa kanuni za mashindano hayo, endapo mechi …
Mechi za VPL wikiendi hii
WIKIENDI hii kutakuwa na mechi nne za VPL. Mechi za Jumapili (Februari 19 mwaka huu) ni kati ya Coastal Union itakayoikaribisha Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga wakati Villa Squad itakuwa mgeni wa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma utakuwa mwenyeji wa mechi kati ya Polisi Dodoma. Wakato huo huo, …